Skip to content
Malezi Kituoni
- Kituo chetu kinajivunia uwepo wa Walezi wenye sifa, hamasa na upendo na uzoefu kazini.
- Wanazingatia sana swala la afya ya akili, utu na amani kwa watoto wetu.
- Walezi wetu wanajikita katika kuwasaidia watoto kujitambua, kuhusiana/kuwakubali wengine (socialization), kujenga uaminifu, utiifu na ushiriki katika usafi wao wenyewe na mazingira yao kwa kuzingatia umri wa mtoto.
- Pia tunazingatia sana swala la ubunifu, kukuza upendo na utulivu zitakazomuongoza wakati wote wa maisha yao.