- Ili kuhakikisha watoto wetu wanakua kimwili na kiakili, vifaa vya michezo ya ndani na nje vipo vya kutosha na huongezwa kulingana na mahitaji ya watoto.
- Aidha, kwa kutambua kwamba michezo ni ajira, katika kituo chetu kwa sasa watoto hawachezi tu kama ilivyozoeleka bali huelekezwa namna yakucheza kwa ustadi kuanzia umri mdogo ili kujijenga kiuwezo kwa ajili ya maisha ya baadaye


