Chakula na Afya ya Watoto

Kwa kutambua kwamba lishe bora kwa mtoto humfanya mtoto kuwa na afya nzuri ya akili, Kituo chetu kimeendelea kuhakikisha kuwa watoto wanapata chakula au milo yenye virutubisho vinavyohitajika katika ukuaji wao. Kwa kuzingatia hilo watoto watapewa milo inayojumuisha vyakula vifuatavyo:-

  • Uji ulioandaliwa kwa unga uliotengenezwa na wataalamu waliothibitishwa na mamlaka za serikali.
  • Matunda, mboga za majani, maziwa, nyama, wali na pilau.
  • Pia vitafunwa (snacks) mbalimbali kama vile keki na mikate hupatikana.

Admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Posts